Sunday, September 4, 2016

VIDEO:Bebe Cool alivyojiachia na "Stripper"kwenye birthyday party.

 Mwanamuziki maarufu na mkali wa miondoko ya ragger kutoka nchini Uganda Bebe Cool alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 39 Sept.mosi kwa namna ya tofauti coz unaambiwa jamaa aliamua kumkodi "Stripper" kwa ajili ya kuburudisha kwenye birthday party ambayo ilihudhuriwa na mama watoto wake anaefahamika kama Zuena.
                                              Bebe Cool na Mkewe Zuwena.


Hata hivyo unaambiwa Mama watoto wa Mwanamuziki huyo hakugundua kinachoendelea kwani waliendelea kuburika na Bebe Cool huku mwenzake akimwaga vanga mbele yao.

Tazama mchezo mzima hapa

#UbuyuMtamuWaShilawadu...Doh..!!

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.