Wednesday, September 21, 2016

Taarifa:Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi,na kuvunja Bodi yote.


Rais wa Jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ,leo tarehe 21 septemba ,2016 ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof.Hasa Mlawa kuanzia leo.

Pamoja na kutengeua uteuzi wa Prf.Hasa Mlawa,Rais Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya mfuko huo.

Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya LAPF  utafanywa badae.


Gerson Msigwa

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,IKULU.

21 September,2016.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.