Rapper''s Wiz Khalifa,Chevy Wood na Casey Veggie wameachia video hii mpya inayoitwa "Gang Ganga" ambapo kwa pamoja wanaonekana waki-hang na warembo club,wakicheza video games huku wakipokezana sigara kubwa.
"Gang Gang" ni wimbo wa kwanza kuachiwa kutoka kwenye mixtape ya rapper Wiz Khalifa inayofahamika kama "Taylor Gang Vol.1" ambayo bado haijafahamika itatoka lini.