Monday, September 5, 2016

Video | Sababu Za Malaika Kutomuongelea Baba Yake Mzazi

Mwanadada aliyetambaa juu ya mdundo wa Producer Mesen Selekta na kuunda kitu walichokipa jina nawararua amechimba ndani zaidi na kuzitaja sababu kubwa zinazomfanya asipende kuongea chochote kuhusu baba yake mzazi.
 Hapa Chinim ni Interview ya mrembo huyo aliyoifanya na +SEE THE AFRICAN TV



ULIISIKIA HII YA MALAIKA KUMPELEKA POLISI BOYFRIEND WAKE?





Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.