Wakati Tamasha la Fiesta likiendelea kuzunguka mikoa mbalimbali na kutoa nafasi kwa mashabiki wa muziki nchini kupata burudani kwa kuwaona wasanii waki-perfom jukwaani live,nyuma ya pazi kuna mambo mengi yanayoendelea ikiwemo semina ya Fursa inayotoa eleimu ya ujasiriamali na kwa Wananchi.
Miongoni mwa wasemaji kwenye kwenye midahalo ya fursa ni Mwanamuziki n mshairi maarufu nchini Mjoma Mrisho Mpoto ambae mara baada ya kushuhudia perfomance ya rapper Mr.Blue alijikuta akitamka hadharani kuwa rapper huyo anaefanya vizuri na hit ya "Mboga Saba" ni miongoni mwa wasanii bora wa muda wote kwenye tasnia ya muziki wa bongofleva.
Mjomba,Mrisho Mpoto.
Bofya hapa kumsikiliza Mjombahttp://www.audiomack.com/song/mdadisitzrapper/mrisho-mpoto-adai-mrblue-ni-rapper-bora-wa-muda-wote