Dj Khaled ameachia video ya wimbo unaofahamika kama ‘Nas album done’ kutoka kwenye album yake ya ‘Major Key’,album iliyowajumuisha mastaa wakubwa kwenye muziki wa Hip Hop nchini Marekani.
Katika video hii iliyoshutiwa kwenye visiwa vya Bahama,anasikika rapper Nas Escobar akispit-mashairi huku Dj Khalid akinogesha kwa ku-hype nyuma ya Nas,Enjoy it