Sunday, September 11, 2016

Mwanamitindo Hamisa Mabeto atukiwa tuzo nchini Afrika Kusini.

Mwanamitindo Hamisa Mabeto amekua miongoni mwa wanamitindo waliohudhuria tuzo za heshima ambazo ni mahususi kwa wanamitindo,wanamuziki na watu wenye michango kwenye jamii hasa katika nyanja ya elimu zilizotolewa nchini Afrika Kusini wikendi hii.

Katika tuzo hizo zinazofamaika kama Star-QT Awards,Hamisa Mabeto ameshinda tuzo kwenye  kipengele cha "Best Dressed Girl".


Kupitia akaunti yake ya Instagram Mwanamitindo huyo amepost picha ya tuzo aliyoshinda na kuandika.......Baba Ahsante kweli we ni MunguπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸΎπŸ™πŸΎ❤️
Best dressed ladyπŸ’πŸ½
South Africa 2016
@starqtawards πŸ™ŒπŸΎ❤️
#Tanzanian





 Tazama video alipokua akipokea tuzo hiyo;


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.