Rapper The Game ameonesha utundu wake kwenye tungo za mapenzi kwenye wimbo huu mpya unaoitwa "Baby You" ambapo ndani yake inasikika sauti ya mwimbaji Jason Derulo.Wimbo huu utapatikana kwenye album mpya The Game "1992".
Comments System
facebook
CONTACT US +255 715 25 23 71