Baada ya KAMATI CHINI pamoja na nyimbo ya GAME kupenya katika mipaka ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kundi matata la muziki kutoka TANZANIA linaloundwa na couples wawili AIKA pamoja na producer bora wa mwaka 2015-2016 NAHREEL wameingia jikoni na kupika hits nyingine kibao ikiwemo colabo ambayo tayari imefanywa pamoja na ali kiba
Lakini pia Navy kenzo limekuwa kundi pekee ambalo limechaguliwa kutoka TANZANIA kupeperusha bendera kwenye msimu mpya wa nne wa COKESTUDIO AFRIKA ambayo inafanyikia nchini kenya
Vile vile kundi hilo limekuwa nominated katika tuzo mbili kubwa AFRIKA MTV MAMA zitazofanyika october 22 SOUTH AFRICA ukumbi wa ticket pro Dome pamoja na wats up tv africa video music award 2016 za GHANA
Hivyo wanawaomba mashabiki wao kuwa pigia kura kama kundi bora kutoka Afrika ili wapate kunyakua tuzo hiyo