Hatukatai kuwa kuwa kwa sasa maisha ni magumu..!!...Kila mtu anajua hilo,hivyo kila mtu anajitahidi kujishughulisha ili mradi mkono uende kinywani ila kwa mrembo huyu hali ni tofauti kwani shughuli aliyoamua kuifanya imegeuka tabu kwa vidume wanaopenda 'kwichikwichi' baada ya kuamua ku-post picha kadhaa kwenye mitandao ya kijamii akianika maungo yake hadharani.
Hizi ni baadhi ya picha za @Nikkie kwenye pozi tofauti...!! Haya kusafisha macho mara moja moja sio mbaya.