Thursday, October 13, 2016

Nilitaka Kutoa Mimba Ya Juma Nature - Jike Shupa

Kwenye U-Heard ya leo Oktoba 13 mhariri mkuu wa gazeti la makorokocho Soudy Brown amepiga stori na malkia wa video ya Jike Shupa (Maarufu Jike Shupa).
 Video Queen huyo amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na mkongwe wa muziki wa Hip Hop Sir. Juma Nature..
 Kumbe waliwahi kuwa wapenzi na walifanikiwa kupata mtoto wa kike.
 Sasa Unajua ni nini kiliendelea?, Sisi sio watu wa mchezomchezo bhana.. Msikilize Jike Shupa  Hapa Chini akimpenyezea Soudy Brown Ubuyu woteeee.....

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.