Ingawa show ya Mwanamuziki huyo kwenye tamasha lililofahamika kama Mombasa Rock Festival awali iliingia dosari baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Chris Brown alivunja simu ya shabiki alietaka kupiga nae picha bila ridhaa yake,ila umati wa mashabiki wa Mwanamuziki huyo walijumuika mjini Mombasa Octoba 8,2016 kutazama perfomance yake ambapo alisindikizwa na mastaa wengine wa muziki Afrika kama Wizkid,Ali Kiba,Vanessa Mdee na kundi la Sauti Soul.
Hizi ni baadhi ya picha za Chris Brown kwenye tamasha hilo mjini Mombasa;