Thursday, October 27, 2016

U - HEARD | Majina Ya Alikiba Na Millard Ayo Yalivyotumika Kutapeli


Millard Ayo na Alikiba ni miongoni mwa watanzania maarufu waliojizolea heshima kubwa kutokana na ubora wa kazi zao.
 Pengine labda kutokana na heshima waliyonayo ndio ilikua sababu kubwa ya ndugu yetu kutoka kipande cha Gas City (Mtwara) kutapeliwa.
 Unajua nini kilijiri, ilikuaje mpaka ubuyu ukawafikia Shilawadu?, 

PLAY HII VIDEO HAPA CHINI USIKIE MCHONGO ULIVYOPANGWA:

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.