Miaka miwili baada ya kufanya vizuri sokoni na Albamu yake “No Guts No Glory” kutoka "PENTHAUSE MUSIC" mkali wa Ngoma Phyno anaachia albamu nyingine huenda ikawa mwishoni mwa mwezi huu au mwanzoni mwa mwezi Novemba.
“Connect”, “Pino Pino” na “Fada Fada” ni baadhi ya ngoma zitakazokuja kwenye albamu hiyo.
"It's been a long time coming ... My sophomore album 'THE PLAYMAKER' drops in a few days. I want to thank all my fans and team all over the world who have supported my music. Special thanks to the media for holding me down. I can't wait for the world to hear this body of work, let d music speak ❤️🔊🔊. Love you all . #ThePlaymakerAlbum #Penthauze" ameandika Rappa Phyno kupitia ukurasa wake wa Instagram..