Mshindi wa kwanza wa shindano la Serengeti Fiesta YoungKiller Msodoki amesema kukosekana kwa muda wa kukutana kwa memba wenzake wa Matunzo ZiRO Unit ndio sababu kubwa ya kuifanya combination hiyo kushindwa kwenda mbele.
Akiongea na Makorokocho.co Young Killer amesema soon ataweka kila kitu wazi kuhusu project za Combination hiyo baada ya kukamilisha baadhi ya vitu ambavyo hakuviweka wazi moja kwa moja.
MSIKILIZE YOUNGKILLER KWA KUBONYEZA PLAY HAPA: