Habari zilizopo mezani kwa mhariri mkuu wa makorokocho Soudy Brown ni report za kuwepo kwa fununu za kuwepo kwa penzi jipya kati ya rapper Dogo Janja mwenye Kidebe chake na malkia wa vichupa vya bongoflava Agnes Masogange.
Fununu hizo zilizagaa haraka kwa speeda ya umeme mara baada ya Dogo Janja (Janjaro) kama anavyojiita siku hizi kupost picha ikimuonyesha Masogange akilingishia Msambwanda kwenye FaceTime ambayo moja kwa moja ilitafsriwa kama wawili hao walikua kwenye convo ya hatari.
Baada ya kumtafuta Janjaro afungukie ishu hiyo, Dogo alikua na haya ya Kujitetea: