Tuesday, November 1, 2016

VIDEO(EXPLICIT): 'Zombie Walk',Desiigner ft.King Savage.

Rapper Disiigner ameachia video hii ya wimbo wake unaofahamika kama 'Zombie Walk' unaopatikana kwenye Mixtape yake ya 'New English' iliyotoka mwezi wa sita mwaka huu.

Staa huyo wa hits ya 'Panda' ambae yupo chini ya lebo ya muziki ya 'G.O.O.D MUSIC' inayomilikiwa na rapper Kanye West,anadai  kuwa wazo la kufanya wimbo huo alipata kutoka kwa mshkaji wake ambae ni mlemavu,King Savage ambae amemshirikisha kwenye wimbo huu.

Desiigner anadai kuwa haijalishi unatembea vipi ..ili mradi unatembea..!!
 
“My friend, who’s on the feature named King Savage, he’s handicap. He walks a little funny so when I made the song I was boosting his information. I made that for him. It don’t matter how you walk.”

Read More: Desiigner Spits New Freestyle, Talks Working With Kanye West - XXL | http://www.xxlmag.com/news/2016/10/desiigner-freestyle-working-kanye-west/?trackback=tsmclip

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.