Mwanamitindo kutoka nchini Kenya Huddah Monroe,ambae amjipatia umaarufu kwa drama zake za kushea vitanda na mastaa wa muziki na kupost video na picha tata kwenye mitandao ya kijamii,amerudi kwenye headline baada ya kuonesha uwezo wake wa kutumia silaha kupitia video aliyo-post kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Kwenye video hiyo Huddah anaonekana akicheza na bastola ndogo aina ya 'Glock 23' na kuambatanisha ujumbe uliosommeka “Playing with the Big Boys toys…… #Cleaning #NotYourAverage .#MistressOfAllTrades”.