Tuesday, November 1, 2016
PICHA:Barua iliyoandikwa na Tupac kuuzwa kwa kiasi cha Tsh.378 milioni.
Ikiwa ni takribani miaka 20 tangu rapper nguli wa muziki wa Hip Hop Tupac afariki dunia,Barua ambayo aliiandika mwenyewe inatarajiwa kuuzwa kwa kiasi cha $172,750 ambazo ni swa na kiasi cha shilingi milioni 378 za kitanzania.
Kampuni iliyopewa dhamana ya kuuza mali za rapper huyo inayofahamika kama 'Goldin Auctions' imesema barua hiyo iliyondikwa na Tupac Shakur ni sehemu ya mali zinazomilikiwa Hayati Tupac,ambapo mali hizo kwa pamoja zitauzwa kwa kiasi cha $206,625.
Tupac anadaiwa kuandika barua hiyo miezi michache kabla ya kupigwa risasi na kufariki mnamo mwaka 1999.
Comments System
facebook