Na anavyojua kumwaga machozi sasa..!! SHILAWADU wanasema sio chozi la nchi hii kwani kupitia ukurasa wa Instgram amepost video na kuandika ujumbe tata uliosomeka "Kila jambo lina mwanzo na mwisho".Ujumbe ulioozusha maswali kwa mashabiki wa Mwigizaji huyo kama ameachana X-Boyfriend wake mwanamuziki Harmonize ambae yupo chini lebo ya muziki ya WCB inayomilikiwa na mpenzi wake wa zamani Diamond Platnumz.
Behind the scene kuna nini....! ndo tuseme Konde Boy katoa kibuti kwa mpenzi huyo wa zamani wa Boss wake au..?...inasemekana lakini..