Wednesday, December 14, 2016

MUSIC:"AHAAAHH",Busta Rhymes ft.Swizz Beatz.


AHAAAHH...!! Bust Rhymes amedondosha mdundo huu mpya akiwa Mtayarishaji maarufu Swizz Beatz.http://www.audiomack.com/song/bottomfeedermusic/aaahhh
  “Ni**as want me to bust-a-rhymes / So ironic it’s Busta Rhymes,” he raps. “So iconic, ni**as can’t f**k with the kid / You know the logic”.Anasikika Busta Rhymes akirap.


Busta ambae yupo chini ya lebo ya muziki ya Epic Records yupo kwenye maandalizi ya album yake mpya inayosubiriwa tangu alipoachia album yake ya mwisho mwaka 2012 iliyofahamika kama "Year Of The Dragon"

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.