Sunday, December 11, 2016
PICHA:Hatimaye Hamonize anunua bonge la kiwanja,utaipenda ramani ya Ghorofa analotaka kushusha hapa mjini.
Muziki ni kazi na ukiiheshimu inalipa.Naweza kuthibitisha kauli hii baada ya Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Harmonize,kununua shamba kwa maana ya kiwanja,ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram bila kutaja eneo husika,Staa huyo wa singo ya 'Matatizo' ambae yupo chini ya lebo ya muziki ya WCB inayomilikiwa na Mwanamuziki Diamond Platnumz,ametupia picha kadhaa akiwa kwenye kiwanja hicho na kuandika 'Hata Mbuyu ulianza kama mchicha #RajHouse'
Comments System
facebook