Showing posts with label Young Dee. Show all posts
Showing posts with label Young Dee. Show all posts

Wednesday, December 14, 2016

Video : Amber Lulu Alipokutana Na Mtoto Wa Young Dee

 Wikiendi iliyopita a rapa Young Dee alithibitisha kumkubali mtoto wake aliyemkataa kabla ya kuzaliwa kwake. Mastaa mbalimbali walijitokeza kumpongeza kwa maamuzim hayo. 
 
 Anajulikana kama Amber Lulu moja kati ya warembo hotcake kwenye videos za wasanii mbalimbali wa Bongoflava ambae amekua akitajwa kutoka kimapenzi na Young Dee hakubaki nyuma kwani alizidi kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa rapa huyo baada ya kuonekana kwenye pozi tofauti na mama mtoto wa Young Dee pamoja na Mtoto Tammy.


JIONEE HAPA ILIVYOKUA:


Thursday, December 8, 2016

PICHA 10:Yupi anapita anga ya mwenzie,ni Tunda wa Young Dee au Huddah Monroe.



Hizi ni picha 10 katika pozi tofauti zikiwaonesha 'Video Vixen' & 'Socialight Celebrity',Huddah Monroe kutoka nchini Kenya na Tunda,....eheee Tunda huyu huyu aliemua kurejesha penzi lake kwa Young Dee,kiasi cha rapper huyo kuamua kumuuzisha sura mrembo huyo wa kwenye video yake mpya inayofahamika kama 'Furaha'.
Maamuzi ya nani anamuiga mwezake au ni nani anaekuvutia nakuachia wewe.

HUDDAH.






TUNDA.





Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.