Monday, June 7, 2010

Album ya Lil Jon "Crunk Rock" Kuisikiliza bure


Ilichukua miaka mitano kwa mdau wa Crunk Lil Jon kutengeneza Album yake ya Crunk Rock, na kesho siku ya jumanne album hiyo itatoka, katika Album hiyo kati ya majina yaliyotajwa kushirikishwa ndani ni pamoja na Ice Cube, Game, Soulja Boy, Pastor troy, Pitbull na wengine kibao.

Mtandao wa Billboard umetoa nafasi kwa watu kuthaminisha kwa kusikiliza on line Album hiyo.

So unaweza ukaBrows pale kati Billboard.com usikie mpango mzima wa King of Crunk music lil jon alivyosimama kwenye Crunk Rock Album.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.