Producer Kita ameachia Track Mpya
Producer Kita anaefanya kazi zake katika studio za Rama Records pande za magomeni amerelease Track Mpya inayoitwa Inawezekana na mwanzo mwisho ametupia vocal zake mwenyewe, naskia ni bonge moja ya Ngoma, tutafanya mpango tuki itia mkononi tuitupie hapa.
Monday, June 7, 2010
Comments System
facebook