Katika filamu hiyo mpya ambayo imegharimu kiasi cha dola za kimarekani milioni 40, Diddy anaigiza kama Sergio Rome na mmiliki wa kampuni ya Pinnacle Entertainment.
Wakati wa uzinduzi wa DiddyBeats Headphone Collection, Combs alielezea sababu zinazomfanya yeye awe busy,
Akaeleza sababu hasa anataka kuburudisha na kuwapa moyo watu, Diddy akaongeza “No matter what THEY say about me, my motivation is to inspire YOU. If I can do it, you can do it.”