Thursday, September 1, 2016
Rapper Kendrick Lamar amtusi Donald Trump kupitia mashairi.
Kendrick Lamar ameendelea kudhihirisha ubora wake kwenye utunzi wa mashairi yenye ujumbe mkali baada ya kushirikishwa kwenye wimbo mpya wa rapper Isaiah Rashad,unaoitwa "Wat’s Wrong" huku chorus ya wimbo huo ikinogeshwa na sauti ya mwimbaji anaefahamika kama Zacari.
“I told Zay I’m the best rapper since 25,”..... “Been like that for a while now, I’m 29 / Any ni**a that disagree is a fuckin’ liar / Pardon me, see my alter ego a Gemini / Him and I been around ever since Reagan was criticized.”.Sehemu ya mashairi ya Kendrick Lamar,mshindi wa tuzo 7 za Grammy.
Isaiah Rashid (kushoto) na Kendrick Lamar (kulia),wanamuziki hawa wapo chini ya music label inayofahamika kama T.D.E ya nchini Marekani.
Hata hivyo katika wimbo huu Lamar hajacha kuzungumzia masuala ya kisiasa...“Might stay in the Trump Tower for one week / Spray paint all the walls and smoke weed / F*ck them, and f*ck y’all, and f*ck me".Ikumbukwe kwamba Trump Tower's ni moja ya majengo maarufu yanayomilikiwa Donald Trup,mfanyabiashara na mwanasiasa anaogombea nafasi ya uraisi wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican,Mwanasiasa anaepigwa vikali na raia wa taifa hilo wenye asili ya kigeni kutokana na misimamo yake mikali na kauli tata anazotoa kwenye mikutano yake ya kampeni.
Wimbo huu wa rapper Isaiah Rashid ambae yupo kwenye lebo moja (T.D.E) na Kendick Lamar utapatikana kwenye album yake mpya bado haijapewa jina.
Kuusikiliza wimbo huu bonyeza link hii hapaWAT'S WRONG: Isaiah Rashid ft.Kendrick Lamar & Zacari
Comments System
facebook