Diamond na Queen Darlin siku walipochukua Tuzo 2012, "Baba yao anaona utaaaamu kuwanonihino" |
Dada wa Diamond Platinum, Queen Darlin mshindi wa Tuzo ya Video Bora ya Dance hall katika Tuzo za Kili Music Awards 2012, ametiririka ya Moyoni kuhusu Scandal linalomhusu Diamond na Baba yake, pale Baba mzazi wa Diamond alipoibuka na kudai kuwa eti Diamond amemtenga wala hamjali na amekua akimsurport sana mama yake kiuchumi, hapokei simu za dingi yake kila anapovutiwa wire, Diamond nae si akaibuka na kujibu mapigo kwa kumdiss dingi kuwa eti alikua wapi siku zote hizo na kuitenga familia yao, leo anarudi baada ya kuona mafanikio aliyopata Diamond, Kimsingi Queen Darlin ni dada wa damu wa Diamond na wamechangia Baba ila mama tofauti, Queen Darlin amesema hata kwa upande wake alitoswa na dingi yake alipokua mdogo kiasi cha kwamba hata yeye hawajui baba zake wadogo na kama angekua ni dem wa kushobokea shobokea mijanadume sana basi ingetokea siku angekua kishawahi kutembea na baba zake wadogo au ndugu zake wengine.