Diamond Hospitalini |
Manenomaneno yamezagaa baada ya msafi the Plutnumz kutupia maphotophoto aliyopiga akiwa hospitali maneno yakaanza kuzagaa mitaani eti kapigwa lana na baba yake kwa kumuongelea vibaya, ambae hivi karibuni aliibuka kwenye vyombo vya habari akidai eti kwamba hakuna uhusiano mzuri kati yake na mwanae "msafi" Gazeti lilinasa machache kutoka kwa chanzo chetu kilichoongea na diamond live bila chenga na Diamond alifunguka na kusema, tetesi hizo si za kweli, na Dr amesema sikuwa na muda mzuri wa kupumzika kutokana na show nyingi nilizokuwa nazo na kutembelea mikoa na vijiji vingi ambapo nakutana na hali ya hewa tofauti, ikiwa ni pamoja na vyakula tofauti. Watanzaniaaa! hebu tuache uzushi unajua dua la kuku... kama hujanithamini kabla unataka nini sasa.. Unaona utaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamuuuu.