Thursday, May 16, 2013

ADAM MCHOMVU 2013 BIRTHDAY NDANI YA CLOUDS FM, ILIVYOKUA JANA



tarehe kama ya jana 16 mwezi wa tano miaka zaidi ya 20 iliyopita alizaliwa moja kati ya Entertainerz wa Radio wakali bongo, Adam Mchomvu akiwa na miaka karibu saba kwenye game ya utangazaji kupitia mawimbi ya Clouds fm, leo alitimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake.
Kama alivyoahidi tangu awali kuwa ana mpango wa kuitambulisha mixtape yake kwa raia kwa kuzi review hewani ndani ya kipindi cha xxL na kweli mipango ikatimia raia wakaskilizishwa ngoma nusu nusu ili wakainunue mixtape.
Baada ya kumaliza kipindi sasa ndo shamra shamra za birthday zikaendelea kwa wafanyakazi wa clouds media groung kulishwa keki na Adam, alikuwepo mwanadada Mboni Masimba naye alikua ana share birthday na mchomvu so wakala keki pamoja.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.