MC TEJA amepanic ana ropoka/ anataka kuzibwa pengo na madoctor/
— Soudy Brown (@gossipcoptz) May 22, 2013
mla Ngada baraka hazitokushukia/ wee unabembea unalewa kwa kusifiwa/
— Soudy Brown (@gossipcoptz) May 22, 2013
UmeIShindwa nyekundu ya Msimbazi utaiweza YANGA/ukiendekeza stress MC utaimba mpaka charanga/
— Soudy Brown (@gossipcoptz) May 22, 2013
Utavaa kangautacheza vanga/utakimbia madhabahu na kuanza kuwanga/
— Soudy Brown (@gossipcoptz) May 22, 2013