GUITER LA WYCLEF JEAN LINALOFANANA NA BUNDUKI AINA YA AK 47
Hivi karibuni nchini marekani Wyclef Jean alitokeza mtaani na Gita lake lililoundwa katika mfano wa bunduki ya kivita aina AK 47, Wyclef akawaambia waandishi kuwa wazo lake ni kubadilisha silaha za moto na kuwa vifaa vya muziki, ili kupunguza mauaji