Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of
my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray
perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa
mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage na Hemed
alikosea kudhani kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu na hiyo
ikawa ndiyo mistake kwa mkari huyo wa music na bongo movie kumbe bi dada
alimaindi na alisubili mpaka hemed alipomaliza kufanya yake on stage
alimfata backstage na kumsemea mbovu kuhusu kitendo alichokifanya on
stage.tizama video hapo juu jinsi mwanadada alivyokuwa akimkoromea PHD.
story kwa hisani ya www.teentz.com