|
Shilole |
Msanii Zuwena Mohammed 'Shilole'
Februari 13, mwaka huu alimtembelea mama yake mlezi aitwaye Hamisa
anayeishi Igunga Mjini mkoani Tabora alipokwenda na wasanii wenzake
akina Madee na Queen Darleen kwa ajili ya shoo ya Siku ya Wapendanao.
Cheki Video ya Tukio zima,
Source: Global publishers