Wimbo mpya wa Diva Loveness Love akiwa amemshirikisha Bob Jr, wakati akizungumza na XXL ya Clouds fm Diva amesema Bob Jr alihusika katika kutengeneza Instrumental kuandika wimbo na kumix pale katika studio za Sharobaro Records Magomeni mapipa.
CONTACT US +255 715 25 23 71