Monday, May 5, 2014

New Song: Mwana Fa feat G Nako - Mfalme

Mwana Fa akiwa na wamasai wake usiku wa Kili Tanzania Music Awards
Hii ndo ngoma ambayo Mwana Fa aliitambulisha Exclusive na Kuiperform katika usiku wa utoaji wa Tuzo za Kili Tanzania Music Awards iliyofanyika juzi pale katika ukumi wa Mlimani City, watu walikua wanaiskia kwa mara ya kwanza lakini vibe yake ilikua kali hii ina maanisha kuwa ngoma tayari ni Hit tangu siku ya kwanza, Fa aliperform na watu kibao waliokua wamevalia shuka ama nguo za kimasai waliokua wanaruka ruka on stage, enjoy dude hilo hapo chini

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.