Tuesday, May 27, 2014

SABABU ZA BEYONCE NA JAY Z KUTOHUDHURIA HARUSI YA KANYE NA KIM KARDASHIAN


Kitendo cha Beyonce na Jay Z kutohudhuria harusi ya Kanye West  na Kim Kardashian kimechukuliwa kwa mitazamo tofauti katika magazeti na mitandao ya kijamii huku wengi wasijue ni hini hasa sabubu ya Beyonce na Jay Z wamefanya hivyo...Ukizingatia kuwa Kanye West alimuomba Jay Z awe BEST MAN wake....Kwakifupi kitendo hiki kimewashangaza na kuwaudhi mashabiki wa Kim na Kanye.



Ingawa Beyonce aliweke picha ya Kanye West, Kim na mtoto wao, North kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM na kuandika ujumbe huu;
 Wishing you a lifetime of unconditional love. God bless your beautiful family.”

Wadau wanaona hiyo haitoshi kabisa na hata Kanye na Kim hawawezi kuridhika kwa kitendo hicho.

Wagazeti makubwa ya UDAKU inchin Marekani yamedodosa na kubaini kuwa sababu ya Beyonce na Jay Z kutohudhuria Harusi hivyo ni uwepo wa mwana dada  Rachel Roy kwenye harusi hiyo..Huyu Rachel ndio ilikuwa sabau kubwa ya Jay Z kutofautina na dada yake Beyonce, Solange. Kwahiyo waliepuka Media Attetion siku ya harusi, na hiyondio sababu ya wawili hao kuona ni bora wa baki kumaliza mambo yao ya kifamilia.

Vile vile taarifa kutoka kwa wiliohudhuria harusi hiyo walisikika waki semazana kuwa ni kitendo kisichovumilika kwa Beyonce na Jay Z kutohudhuria..kuendelea zaidi ilisemekana kwasasa Beyonce na Jay Z hawana tena ukaribu na Kenye pamoja na Kim.

Hakuna neno lolote kutoka kwa Kanye na Kim hadi sasa kudhungumzia swala hili.... HATARI SANA

Credit: DOMOZEGE

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.