Tuesday, May 27, 2014

XXL YAFANIKISHA DARASA KUPATA MALI YAKE ILIYOPOTEA

wiki iliyopita Rapper Darasa alipoteza hard drive yake aliyoisahau kwenye Taxi aliyoipiga mkono barabarani mitaa ya sinza baadae ilipomshusha kwa bahati mbaya akasahau kifaa hicho cha kuhifadhia kumbukumbu na yeye alikua kaweka nyimbo na beats ambazo hazijatumika, sasa juzi usiku akapigiwa simu na kuwa kuna mtu aliwekewa bondi Hard drive hiyo kwa elfu 20 na alipoifungua akakuta file zimehifadhiwa kwa jina la Darasa baadae akaskia Darasa akitiririka kwenye XXL ndio wakaamua kumtafuta ikabidi a toe elfu 20 na kukabidhiwa Mali yake.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.