Muimbaji wa muziki wa injili na mfanyabiashara, Emmanuel
Mbasha anayetuhumiwa na mahakama kwa kumbaka shemeji yake, ameandika barua ndefu
kwa mchungaji maarufu nchini, Gwajima
anayemtuhumu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wake ambaye ni Flora Mbasha
kiasi cha kupanga njama za kuhakikisha anafungwa jela;
Yapata kama wiki
mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya utajiriâ wa ghafla
wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza
muda mkewangu akanijibu kupitia gazeti moja la udaku kuwa amechangiwa fedha
kiasi cha milioni 9 na waumini kanisani kwakoMchungaji, naomba uelewe kuwa
nafahamu juu ya mipango yote mnayoipanga kuliko unavyodhani!!
Kwanza ni kweli kuwa
mlipitisha harambee ya kumchangia mkewangu, lakini kiwango kilichopatikana
kilikuwa ni milioni 2 na laki tatu na si milioni tisa kama mlivyotangaza!!
Lakini mlitangaza uongo huo makusudi iwe rahisi kutimiza malengo yenu ya
kidhalimu mliyoyapanga juu yangu!!Mnamo tarehe 3 mwezi juni mwaka huu,
mlifungua akaunti mpya kwa jina la mkewangu katika benki ya CRDB Morogoro, na
siku nne baadae mkewangu aliingiziwa fedha kiasi cha milioni 18 kutoka akaunti
ya MWANAMAPINDUZI FOUNDATION ambayo hiyo account ipo Nmb mwanza! Ambapo asasi
hii inamilikiwa na mchungaji wako msaidizi Maximilian Machumu pamoja na mbunge
wa viti maalumu kutoka mikoa ya kaskazini! Nashukuru kama ulimpa fedha hizi kwa
nia ya kumsaidia, lakini hofu yangu ni kuwa kwanini kitendo hiki kifanyike kwa
kificho?? Kwanini mtumie njia za siri ambazo si rahisi watu kujua kama mmempa
fedha??
Pia napatwa na mashaka zaidi kwani siku moja baada ya fedha
hizi kuingizwa taarifa ya benki inaonyesha kuwa kiasi cha milioni sita cash
zilitolewa na siku hiyo hiyo wapo waandishi watatu wa magazeti ya udaku ambao
wanaonekana waliingiziwa fedha kiasi cha milioni moja kila mtu na aliyedeposit
hizo fedha ni moja ya viongozi wako hapo kanisani!! Kuna nini hapo?? Mchungaji,
naomba tusizunguke mbuyu! Ni dhahiri shahiri kuwa umekuwa na uhusiano wenye
utata na mkewangu kwa muda mrefu sasa!
Binafsi nilianza kupata wasiwasi mwaka jana mwezi desemba
tulipoenda katika mkutano wako wa injili pale morogoro! Mimi na mkewangu
tulifikia hoteli ya kingsway msamvu na wewe ulifikia Nashera Hotel maeneo ya
forest hill!! Baada ya siku tatu za mahubiri mkutano wako ulipigwa marufuku na
serikali kwasababu ya maneno yakichochezi uliyokuwa unahubiri, hvyo ikatulazimu
waimbaji wote turejee dar es salaam!! Lakini uliniomba mkewangu abaki na wewe
kwani ulipanga uwe unawafanyia watu maombi pale kanisani kwako kihonda kwa muda
wa siku nne!! Nilikubali na nikamuacha mkewangu nyumbani kwa dada yako pale
mazimbu!! Lakini kesho yake dada yako alisafiri kwenda mwanza na ikabidi
mkewangu arudi hotelini kingsway!!
Kwaa taarifa nilizonazo na nimezithibitisha kupitia wahudumu
wa pale hotelini ni kuwa mkewangu hakuwahi kulala pale hata siku moja ingawa
chumba kililipiwa kwa siku zote zile!! Unaweza kunijibu alikuwa analala wapi??
Je unaweza kunieleza kwanini mkewangu alikuwa analetwa nashera hoteli na taxi
kila siku usiku!! Sibahatishi katika hili kwani hata namba ya dereva taxi
ninayo!! Yote haya nilivumilia, na hapa kati kati kuna mengi sana yametokea
lakini nikajifanya mjinga nikajishusha nikavumilia kwa lengo la kulinda ndoa
yangu isiharibike lakini naona wenzangu hambadiliki wala hamjishitukii sana
sana mapenzi ndio yanzidi kuwa motomoto kati yenu!! Ulikuwa unategemea
nivumilie mpaka lini, nijishushe kiasi gani, niwe mjinga kiasi gani Nilikuvumilia
sana mchungaji lakini sasa imefika point hapana, imetosha lazima nikuondelee
uvivu watanzania na dunia ikufahamu jinsi ulivyo na kitendo ulichonifanyaia na
unataka kuniziba mdomo kwa kunitishia jela miaka 30!!! Wewe ni mpuuzi na
shetani anaishi ndani yakoâ na nataka
nikuahidi kitu kimoja kuwa NITAKUSHINDA! Najua utanisumbua sana kutokana na
hela zako but at the end, I will be the last man standing!! Narudia tena,
nitakushinda.!!
Bila kusahau naomba niongee na wewe pia mkewangu, hivi ni nini kilichokukuta ndani ya moyo wako How did we get here?? Je ni fedha zilizokufanya ukengeuke kiasi hicho au kuna kingine?? Kama unanichukia mimi kiasi hiki je, uwahurumii hata watoto wetu?? Mbona tunawatengenezea mikosi wakiwa wadogo hivi?? Hivi unadhani watoto wanajisikiaje watakaposikia kuwa baba ameenda jela kwa kosa la kubaka lakini aliyechongesha muvi yote hiyo ni mama?? Hivi kisaikolojia hawa watoto watakuwaje Si watakuwa huku wanatuchukia sisi wote wawili kwa aibu na mikosi hii tunayowatengenezea Kwanini tunataka kuwataabisha watoto kwa dhambi ambayo hawajaitenda. Yes nafahamu nimekukosea mengi and am very sory for that, lakini basi embu kumbuka mkewangu nimekuvumilia mambo mangapi mkewangu, kumbuka makosa mazito uliyonifanyia lakini nikakusamehe ni sijamsimulia hata ndugu yako ama ndugu yangu ili kulinda heshima yako!! Kumbuka jinsi tulivyopogana na changamoto mbalimbali mpaka leo hii umefikia kuwa moja ya icons wa muziki wa injili hapa nchini?? Kumbuka shida, manyanyaso, dhuluma, kuchekwa na kudharauliwa ambako tumepitia mpaka leo hii tuko hapa!!! Mkewangu, kwa miaka yote hii nimekubali nionekane bushoke tu huku watu hawajui kuwa mimi ndiye ninayechora ramani ya kila ishu yako!! Mimi ndiye nimekuwa nafatilia na kufanikisha kila kitu chako from scratch!!! Lakini nimekubali jamii inione bushoke kwani nilikuwa najua nini mimi na wewe tunatengeneza kwa maisha yetu ya sasa na baadae!!! Nini kilichokubadilisha mkewangu Fedha Au huyo mchungaji mwanamazingaombwe. Hivi kweli kabisa umefikia hatua ya kulipa waandishi wa habari ili wanikandamize nionekane sifai katika jamii Ni nini kilichokuoata mkewangu?? Naomba uelewe kuwa binafsi siogopi kwenda jela kwasababu ya hiyo muvi mliyonizushia, kwani ni bora nikakae jela kuliko kuishi huru huku mkininyanyasa kiasi cha kuondoa utu wangu kama bidamu, lakini kinachoniuma ni familia yetu!! Kwanini watoto wateseke kwa sababu ya tamaa zetu binafsi!! Nikifikiria hilo naumia sana! Najua kwa sasa inaonekana kama vile ni impossible kwa mimi na wewe kurudiana tena, lakini binafsi naamini tunaweza!! Najua haitakuwa rahisi kwani tumeharibu mno, lakini ni heri ya kujaribu kuliko kuendelea kufanya huu upuuzi tunoufanya sasa!! Kumbuka hiki tunachokifanya sasa hatujajipaka matope sisi tu pekee, bali mziki wote wa injili Tanzania, na tusipotubu tukajirudi Mungu atatuhukumu kwa dhambi hii!! Kumbuka kuwa hakuna kati yenu atakayeshinda katika hii vita, vyombo vya habari pekee ndivyo vitakavyo nufaika lakini mimi, wewe na mchungaji wote tuta loose!!

Mwisho nimalizie na wewe mchungaji, tulipokutana mara ya
kwanza nilikuchukulia kama kaka na kama mlezi wetu wa kiroho!! Lakini umegeuka
shetani mwenye pembe saba, umeparaganyisha familia yangu, umeleta maumivu
makali kwenye ukoo!! Nakuonya tena kwa mara nyingine, muache mkewangu!! Huyo ni
mkewangu, nilimtolea mahali mimi mwenyewe na wazazi wake waliniamini na
kunikabidhi!!! Nasema niachie mkewangu!! Wewe ni nyoka, imefika time watanzania
wakujue ukweli wako wewe mbwa mwitu mkali uliyevaa ngozi ya kondoo!!!
Umedanganya watu vya kutosha na umefarakanisha ndoa nyingi sana kwa sababu ya
kiburi cha pesa zako chafu za sembe!! Umeudhalilisha ulokole kiasi cha kutosha
imefika time tuwaeleze watanzania ukweli na wakufahamu kuwa wewe ni nyoka!!
Sitakubali kuona ukiendelea kuitesa familia yangu, nitapambana na nitakushinda!!!
Siogopi fedha zako wala connection ulizonazo, ni bora nife
nikiwa nimesimama kuliko kuishi nimepiga magoti! Nitapambana na wewe mpaka
mwisho ili historia isomeke vizuri ili hata wanangu wakiwa wakubwa wajue kuwa
baba yao sikuwa lofa kiasi cha kupiga magoti na kuelekeza shingo kibla kuruhusu
mdhalimu kama wewe uichinje familia yangu, bali licha ya umasikini wangu
nilisimama kiume na kupigana kutetea familia yangu!!! Narudia tena mchungaji,
nitapambana na nitakushinda.