Wednesday, July 16, 2014

YOU HEARD: BABA NUH MZIWANDA AKANUSHA KUMTIMUA SHILOLE

Baba Mzazi wa Msanii Nuh Mziwanda ametiririka juu ya mahusiano ya kimapenzi kati ya mtoto wake na Mwanadada Shilole, mahusiano ambayo ilisemekana kuwa eti shilole amekataliwa kwa kina shilole, sasa Baba Mzazi wa Nuh Mziwanda (Mzee Mlawa) ametiririka kuwa familia yake haina Tatizo na mahusiano hayo kwa sababu ni uamuzi wa mtoto wao na hawawezi kumuamulia, nilipomuuliza kama anafahamu umri wa mkwe wake, mzee Mlawa akajibu hajui umri wa shilole, nikamuuliza Tena kama anafahamu Nuh Mziwanda ana Tattoo yenye jina la Shilole, mzee huyo alishtushwa sana na taarifa hizi na kusikitika sanaaaaaaaaa... sikiliza sauti hiyo hapo chini kwa uhondo zaidi....

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.