Sunday, July 6, 2014

JOH MAKINI: KISWAHILI NI NAMBA MOJA KWENYE HIPHOP BARANI AFRIKA

Rapper Joh Makini kutoka kwenye Kundi bora la hiphop Tanzania "Weusi" amefunguka kuwa Lugha ya kiswahili ni lugha yenye mvuto na tamu kwa msikilizaji wa muziki wa HipHop, na ni rahisi kupangilia vina vyake kwenye Tungo za Rap tofauti na lugha nyingine zenye asili ya Afrika, so akasema Kiswahili ni namba moja Afrika na inafatiwa na Kizulu kinachozungumzwa nchini Afrika kusini, Joh Makini akaongeza kuwa kidunia Lugha inayoongoza kwenye Rap ni Kiingereza ikifuatiwa na Kiswahili kinachozungumzwa zaidi nchini Tanzania na nchi za Afrika Mashariki kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo n.k kwa hiyo wasanii wasanii wa Tanzania waheshimu lugha hii

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.