Friday, July 18, 2014

PICHA: MWASITI, DITO IMMA THE BOY WAPEWA TUZO

Juzi pale tanzania house of talent tht ilipigwa futari ambayo ilihudhuriwa na wadau muhimu wa muziki wa bongo flava kuanzia wasanii wataarishaji wa muziki managers vyombo vya habari ikiwemo tv stations, radio na blogs, na baada ya mkurugenzi wa tht alitoa tuzo watu wenye mchango mkubwa kwa kituo hicho
Akiwemo musa vipaji vingi ambaye ni kijana watatu kufika katika kituo hicho baada ya kutolewa mtaani, mwingine mwasiti yeye alipewa tuzo kutokana kuipeperusha bendera t.h.t vizuri bila scandal za kumchafua, mtaarishaji wa muziki emma the boy alipata tuzo kwasababu amekua akifanya kazi kwa nguvu bila kuchoka, pamoja mwanafunzi wa darasa jipya anaitwa hamadi aliyepata tuzo kutokana na utiifu na kuthamini anayofundishwa.

Mwasiti akikabidhiwa Tuzo na Mkurugenzi wa Tanzania House of Talent Ruge Mutahaba
Ditto akikabidhiwa Tuzo na Mkurugenzi wa Tanzania House of Talent Ruge Mutahaba
Producer Imma The Boy akikabidhiwa Tuzo na Mkurugenzi wa Tanzania House of Talent Ruge Mutahaba
Hamadi Super Star ajaye akikabidhiwa Tuzo na Mkurugenzi wa Tanzania House of Talent Ruge Mutahaba

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.