Thursday, July 17, 2014

ALLY KIBA HANA MPANGO WA KUWEKA URAFIKI NA DIAMOND PLATNUMZ

Msanii wa Bongo Flava Ally Kiba amefunguka kuwa hana mpango wa kuongea nae wala hafikirii kuwa nae karibu, Ally Kiba amefunguka hivyo nilipomuuliza kama kuna beef yoyote kati yake na Diamond kutokana na kuenea kwa maneno kuwa eti wana beef kubwa, Kiba aliongeza kuwa wala hamchukii na anampongeza Diamond Platnumz kwa mafanikio aliyofikia kwa wakati huu.
Msikilize Ally Kiba akitiriri Hapo chini.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.