Thursday, July 17, 2014

PICHA: SHEREHE YA LINAH KUIAGA T.H.T

Mwanadada Linah  Sanga ambaye amepeperusha bendera ya Tanzania house of Talent Tangu Mwaka 2009 jana aliiga rasmi nyumba hii ya vipaji iliyomlea na kukuza muziki wake kwa kipindi chote hiko, Linah amepata deal katika kampuni ya "No Fake Zone" ambayo tayari imewekeza zaidi ya milioni 70 kwenye muziki wake kwa kudhamini Safari yake nchini South Africa alikokaa kwa zaidi ya wiki mbili na kufanikiwa kurecord nyimbo kadhaa akiwa amewashirikisha wasanii wakubwa nchini humo wakiwemo "Uhuru" pamoja na ku shoot video iliyogharimu zaidi ya dola elfu 40 za kimarekani, video hiyo imesimamiwa na Director mkubwa Africa God Father, Usiku wa kuiaga rasmi T.H.T Linah alikua akilengwa lengwa na machozi labda kutokana na Historia yake na kituo hiki ambacho kimekuza vipaji vya wasanii wengi kama Yeye yupo Mwasiti Almasi, Barnaba, Amini, Ben Pol, Dito Nash Designer.
Linah sasa hivi ana manager mpya anaitwa Abby (mtangazaji wa Choice fm) aliwahi kufanya kazi kama hii na Msanii mwingine Vanesa Mdee.
No Fake Zone ni Kampuni ambayo inafanya kazi zake nchini Afrika Kusini na Tanzania, na Linah atakua anaishi bongo ila safari za nje ya nchi zitakua hazikauki

Mtangazaji wa Kipindi cha XXL (Clouds fm) Hamis Mandi a.k.a B Dozen
Mwana Fa

Dito aliyevaa Kofia Nyeupe na Kanzu


 


Profesa Jay
Mtangazaji Wa Habari ITV Godwin Gondwe akihojiwa na Clouds tv
 
Msanii Msami wa THT

Actor Steve Nyerere




Rapper Stereo

Shilole akifurahia Jambo
Artist: Nuh Mziwanda



Babu Tale meneja wa TipTop Connection na Diamond Platnumz


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.