Hivi karibuni picha nyingi zilisambaa zikimwonyesha Diamond Platnumz akiwa katika pozi tata Na mwanadada anayehisiwa kuwa Na utajiri Mkubwa kutoka Uganda Zari the Boss Lady lakini hata mmoja Kati yao aliyethibitisha kuwa katika mahusiano Na Mwenzake Na kuwaacha watu wakiwa wanajiuliza maswali mengi bila majibu, wengine walisema eti walikua wanafanya music video, lakini kutokana Na picha hii inayowaonyesha wakila denda basi ni dhahiri shahiri wawili hao walivunja amri ya sita ndani ya bongo land.