![]() |
Bibi Cheka na Saidi Fela |
Nilimtafuta mkurugenzi wa kituo cha mkubwa na wanae ambao ndie wana mmiliki bibi cheka kama msanii, ili kujua kama wana mpango wowote wa kumpiga jeki bibi cheka coz ana muda mrefu pia hajatoa track.
Fella amefunguka kuwa aliamua kumsimamisha kazi bibi Cheka kutokana na umri kutokana na na kulaumiwa sana na baadhi ya makundi ya kidini ambayo yaliwahi kumhoji kwanini anamtumia bibi huyo katika muziki? ndipo akaamua kusitisha zoezi la kumpigisha show bibi kwa shingo upande.
Fela akamalizia kwa kuwaomba watanzania wamsaidie kumsaidia bibi cheka.