Friday, January 16, 2015

BOB JR VS CHAMELEONE COLLABO KUTOKA KARIBUNI

Mr Chocolate Flavour Bob Jr mwaka jana aliahidi kuwa angeachia ngoma aliyofanya na Dr Jose Chameleone wa Uganda lakini mpaka leo ngoma hiyo haijatoka, ndipo ikabidi nicheki na msanii huyu na kumuuliza imekuaje tena? Bob akasema ngoma imekamilika na imefanywa kwa ushirikiana wa studio zao mbili yani Sharobaro Records na Leonel Island ya Chameleone na kilichofanya ichelewe ni mipango kwa sababu ame plan kufanya video yenye budget kubwa lakini ndani ya mipaka ya Tanzania kwa sababu eti kufanya video nje ya Tz haimanishi kazi ndio itakua nzuri na kupendwa na watanzania.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.