Monday, February 2, 2015

Amber Rose ndani Ya party ya miaka 10 ya D’Banj


Koko Master’, D’Banj mtu mkubwa kwenye muziki anayeiwakilisha Nigeria na Afrika kwenye ramani ya dunia hakika anajivunia mengi kwenye safari yake, mafanikio ya kufanya kazi na lebo ya GOOD MUSIC ya Kanye West ni zawadi kubwa kwake kwenye hii miaka kumi.



Juzi January 31 kafanya  party Lagos, Nigeria, staa mwanamitindo kutoka Marekani ambaye alikuwa mpenzi wa Rapper Wiz KhalifaAmber Rose unambiwa alishuka zake Lagos Naija, kumpa shavu Banj kwenye celebration ya miaka 10, Amber alikuwa MC kwenye event hiyo.



Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.