Monday, February 2, 2015

Platnumz na The boss lady ni zaidi ya Chris Brown na Karrueche

Katika matukio yanayoendelea katika tasnia ya muziki kwa sasa mengi yamekua yakionekana kufanana kwa baadhi ya wasanii wa kwetu bongo na nje ya bongo.Mooja ya wasanii ambao matukiko yamekua yakifanana na msanii mwenzake ni Diamond na Chris Brown.Kwenye page ya Instagram Diamond alipost picha akiwa na Zari kwa muonekano kuna kazi inayofanyika kama wenyewe wanavyo sema ni project.
Tukio lake lina fanan na la Chris Brown kutokana na wote wameamua kuwatumia wapenzi wao kama video queens kwenye video zao.Nyimbo amabayo Chris brown amemtumie mpenzi wake Karueeche inaitwa Autumn Leaves ambapo mwana dada huyo ame-play part yake kama mpenzi wa Breezy.na ndicho hicho hicho kinachofanana na kwa Diamond na Zari.Tuisubir projectr hiyo ikamilike.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.