KINONDONI TALENT SEARCH INAYOFURAHA KUKUTANGAZIA KUWA INATAFUTA MTANGAZAJI WA TV ATAKAYEHUSIKA KATIKA KUTANGAZA MATUKIO YOTE YATAKAYOENDELEA KATIKA MCHAKATO HUU WA KUPATA VILE VIPAJI HALISI VILIVYOPO KATIKA WILAYA YA KINONDONI.. CHA KUFANYA JIREKODI UKITANGAZA UKIWA KAMA MTANGAZAJI WA KTS-KINONDONI TALENT SEARCH KISHA TUTUMIE VIDEO YAKO KWA NJIA YA WHATSAAP KUPITIA NAMBA +255714205958 ONYESHA UWEZO WAKO WOTE ILI UWEZE KUJISHINDIA NAFASI YA KUWA MTANGAZAJI WETU KUANZIA AUDITIONS,STUDIO SHOWS NA MCHAKATO MZIMA.
TUTAPITIA VIDEO ZOTE NA KUMPATA MSHINDI NA TUTAKUPIGIA.
Kumbuka pia fomu za kinondoni talent search bado zinapatikana katika ofisi za serikali za mitaa kachukue fomu yako sasa jaza na subiri kutangaziwa siku ya auditions Kama wewe Ni muimbaji,mchekeshaji,na mchezaji hii inakuhusu